Chemnitz
Chemnitz (1953 - 1990: Karl-Marx-Stadt) ni mji wa Saksonia nchini Ujerumani. Idadi ya wakazi wake ni takriban 243,089. Mji ulianzishwa 1143.
Chemnitz | |||
| |||
Mahali pa mji wa Chemnitz katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 50°50′0″N 12°55′0″E / 50.83333°N 12.91667°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Saksonia | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 243,089 | ||
Tovuti: www.chemnitz.de |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Chemnitz kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |