Chenjerai Hove
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Chenjerai Hove (amezaliwa 9 Februari 1956) ni mshairi, mwandishi wa riwaya na insha wa Zimbabwe. Alipata elimu yake katika Chuo Kikuu cha Afrika Kusini na Chuo Kikuu cha Zimbabwe, na amefanya kazi kama muelimishaji na mwanahabari. Mkosoaji wa sera za serikali ya Robert Mugabe, hivi sasa anaishi uhamishoni kama profesa wa Miradi ya Kimataifa wa muda katika Chuo Kikuu cha Brown (Taasisi ya Watson ya Masomo ya Kimataifa)[1].
Machapisho
haririChenjerai Hove amechapisha riwaya nyingi, mkusanyiko wa mashairi na mkusanyiko wa insha:
- And Now the Poets Speak (Na Sasa Waandishi Mashairi Wanaongea) (mhariri msaidizi),ushairi, 1981
- Up In Arms, ushairi, 1982
- Red Hills of Home, (Milima Nyekundu ya Nyumbani) ushairi, 1984
- Bones, (Mifupa) riwaya, 1988. ISBN 0435905767.
{{cite book}}
: Missing or empty|title=
(help) - Shadows, (Vivuli) riwaya, 1991. ISBN 0435905910.
{{cite book}}
: Missing or empty|title=
(help) - Shebeen Tales, (Hadithi za Shebeen) mashairi ya kihabari, 1989
- Rainbows in the Dust, poetry, 1997
- Guardians of the Soil(Walinzi wa Ardhi), kutafakari kwa kitamaduni wa wazee wa Zimbabwe, 1997. ISBN 0908311885.
{{cite book}}
: Missing or empty|title=
(help) - Ancestors,(Mababu) riwaya, 1997. ISBN 0330344900.
{{cite book}}
: Missing or empty|title=
(help) - Desperately Seeking Europe (Kutafuta Ulaya Kidharura)(mwandishi msaidizi), insha kuhusu utambuzi wa Ulaya, 2003
- Palaver Finish, Insha kuhusu siasa na maisha nchini Zimbabwe, 2003
- Blind Moon (Mwezi Kipofu) ushairi, 2004. ISBN 1779220197.
{{cite book}}
: Missing or empty|title=
(help) - The Keys of Ramb, (Vifunguo vya Ramb) Hadithi ya watoto 2004
Tuzo
hariri- 1983 Pendekezo maalum la Tuzo la Noma la Uchapishaji Barani Afrika, kwa ushairi Up in Arms[2]
- 1984 Rais wa kwanza, Muungano wa Waandishi wa Zimbabwe
- 1988 Mshindi, Tuzo la Uandishi la Zimbabwe kwa uandishi wa riwaya ya Bones(Mifupa)
- 1989 Mshindi, Tuzo la Noma la uchapishaji Barani Afrika, kwa uandishi wa riwaya ya Bones(Mifupa) [2]
- 1990 Mwanachama mwanzilishi wa Kamati, Shirika la Haki za Kibinadamu la Zimbabwe (Zimrights)
- 1991 Mwandishi kwa kipindi kifupi, Chuo Kikuu cha Zimbabwa, Zimbabwe
- 1994 Profesa wa kutembela, Taasisi ya Lewis na Clerk, Portland, Oregon, Marekani
- 1995 Mwandishi mgeni, Chuo Kikuu cha Sanaa cha Yorkshire na Humberside na Chuo Kikuu cha Leeds University, Uingereza
- 1996 Mwandishi mgeni, Shirika la Heinrich Boll, Ujerumani
- 1998 Nafasi ya Pili, Tuzo la Zambia la Uandishi, kwa kitabu Ancestors (Mababu)
- 2001 Tuzo la Ujerumani na Afrika la mchango wa kifasihi wa uhuru wa kujieleza
- 2007-2008 profesa wa Mradi wa Kimataifa wa Waandishi, Chuo Kikuu cha Brown
Sources
hariri- ↑ International Writers Project Fellows
- ↑ 2.0 2.1 "Noma Award for Publishing in Africa winners' list". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-02-24. Iliwekwa mnamo 2010-01-27.
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chenjerai Hove kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |