Chirine Lamti (alizaliwa 13 Septemba 1994) ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama kiungo wa Klabu ya Cesena fc pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia. Chirine alizaliwa nchini Denmaki.[1]

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chirine Lamti kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.