Khitini
(Elekezwa kutoka Chitin)
Khitini (ing. chitin, kutoka gir. χιτών khiton "ganda, kinga") ni dutu ngumu nusu angavu inayofanya kiunzi nje ya wadudu na arithropodi wengine.
Inapatikana pia katika kuta ya seli za fungi.
Kikemia ni aina ya polisakaridi yaani molekuli ndefu ya kabohidrati ya (C8H13O5N)n.
Marejeo
hariri
Other websites
hariri- Chitin Product Information from China GreatVista Chemicals Ilihifadhiwa 20 Juni 2006 kwenye Wayback Machine.
- Horseshoe Crab Chitin Research Ilihifadhiwa 26 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
Viungo vya Nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
- Horseshoe Crab Chitin Research Ilihifadhiwa 26 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
- Information about Chitin (Heppe Medical Chitosan)
- Martín-Gil FJ, Leal JA, Gómez-Miranda B, Martín-Gil J, Prieto A, Ramos-Sánchez MC (1992). "Low temperature thermal behaviour of chitins and chitin-glucans". Thermochim. Acta. 211: 241–254. doi:10.1016/0040-6031(92)87023-4.
{{cite journal}}
: CS1 maint: multiple names: authors list (link)