Cho Oyu

Cho Oyu ni mlima mrefu, wenye kimo cha m 8,188 juu ya usawa wa bahari. Ni sehemu ya safu ya milima ya Himalaya.

Mlima Cho Oyu, upande wa Kusini

Kilele chake kipo katika mpaka wa Nepal na Uchina.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Cho Oyu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.