Christian Karembeu
Mchezaji mpira wa Ufaransa
Christian Karembeu (alizaliwa tarehe 3 Desemba 1970) alikuwa mchezaji wa soka wa Ufaransa na alikuwa mshauri wa mkakati wa Olympiacos FC, pia alishiriki katika muungano wa Paris ili kupanua A-League na Timu za Kisiwa cha Pacific.
Christian Karembeu
Jinsia | mume |
---|---|
Nchi ya uraia | Ufaransa |
Nchi anayoitumikia | Ufaransa |
Jina katika lugha mama | Christian Karembeu |
Jina la kuzaliwa | Christian Lali Kake Karembeu |
Jina halisi | Christian |
Jina la familia | Karembeu |
Tarehe ya kuzaliwa | 3 Desemba 1970 |
Mahali alipozaliwa | Lifou |
Mwenzi | Adriana Sklenaříková |
Lugha zinazozungumzwa, zilizoandikwa au zilizotiwa sahihi | Kifaransa |
Kazi | association football player |
Nafasi anayocheza kwenye timu | Kiungo |
Muda wa kazi | 1990 |
Work period (end) | 2006 |
Mchezo | mpira wa miguu |
Ameshiriki | 1998 FIFA World Cup, UEFA Euro 1996, UEFA Euro 2000 |
Ligi | Ligi Kuu Uingereza |
Tuzo iliyopokelewa | Knight of the Legion of Honour |
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Christian Karembeu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |