Christophe Jallet

Christophe Jallet (alizaliwa 31 Oktoba 1983) ni mchezaji wa soka wa ufaransa ambaye anacheza kama beki wa kushoto wa klabu ya Nice na timu ya taifa ya Ufaransa.

Christophe Jallet akiwa katika timu yake ya taifa Ufaransa vs Armenia.

LyonEdit

Mnamo 24 Julai 2014 jallet alijiunga na klabu ya lyon ambayo ilimaliza msimu kama mshindi wa tatu.

NiceEdit

Mnamo 18 Julai mwaka 2017, Jallet alijiunga na klabu ya Nice.

  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Christophe Jallet kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.