Chuo Kikuu cha Hamdard

Chuo kikuu nchini Pakistan

Chuo Kikuu cha Hamdard (Hamdard University, Kiurdu جامعہَ ہمدرد) ni chuo kikuu cha utafiti cha binafsi kilichopo Karachi na Islamabad, Pakistan . [1] [2] Kilianzishwa mwaka wa 1991 na mwanahisani mashuhuri Hakim Said wa Hamdard Foundation. [3] Hamdard ni moja ya taasisi za kwanza na kongwe ya binafsi ya elimu ya juu nchini Pakistan. [4] Huko Karachi, Chuo Kikuu cha Hamdard ndicho chuo kikubwa kikuu cha binafsi [5] chenye eneo la chuo cha zaidi ya ekari 350.

Utambuzi hariri

Programu kuu za Chuo Kikuu cha Hamdard zimeidhinishwa na kutolewa kwa ushirikiano na mashirika mbalimbalili kama vile Tume ya Elimu ya Juu (HEC), [6] Baraza la Uhandisi la Pakistani (PEC), [7] Pakistan Medical and Dental Council (PMDC), [8] Pakistani Baraza la Wanasheria (PBC), Shirika la Kitaifa la Mawasiliano (NTC), na Baraza la Famasia la Pakistani (PCP). [9]

Viungo vya nje hariri


Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Hamdard kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.