Chuo Kikuu cha Mlima Meru
Chuo Kikuu cha Mlima Meru kilikuwa chuo kikuu binafsi kinachopatikana katika mkoa wa Arusha, Tanzania. Kinamilikiwa na kanisa la Baptisti la Afrika Mashariki [1]
Kilianzishwa mwaka 1962 kama "International Baptist Theological Seminary of Eastern Africa (IBTSEA) (Seminari ya kimataifa ya Theolojia ya Kibatisti ya Afrika Mashariki).
Chuo Kikuu cha Mlima Meru kilipata hadhi ya chuo kikuu mwaka 2005.
Kwenye Septemba 2018 chuo hili kiliagizwa kusimamisha mafundisho yake kwa amri ya Tanzania Commission for Universities (TCU)[2]. Kwenye Oktoba 2018 wafanyakazi wa chuo walilalamika kuwa hawakulipwa mishahara tangu miezi 10.[3].
Mwaka 2019 chuo hakikuorodheshwa tena kwenye orodha ya vyuo vikuu ya TCU.[4]
Marejeo
hariri- ↑ "Orodha ya vyuo vikuu" (PDF). Tanzania Commission for Universities. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo (PDF) mnamo 24 Septemba 2015. Iliwekwa mnamo 15 Julai 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ Shock as varsities blacklisted, taarifa ya gazeti la The Citizen ya tar. Wednesday September 26 2018
- ↑ Mount Meru University staff seek govt intervention over pay taarifa ya gazeti The Citizen ya Thursday November 15 2018
- ↑ https://www.tcu.go.tz/?q=content/links-university-institutions
Viungo vya nje
hariri- Wavuti ya chuo Archived 14 Julai 2019 at the Wayback Machine.
Kigezo:Vyuo vikuu vya Tanzania
Makala hii kuhusu mambo ya elimu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chuo Kikuu cha Mlima Meru kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |