Cindy Sanyu

mwanamziki wa Uganda


Cindy Sanyu anajulikana kama Cinderella Sanyu ni mwanamuziki wa nchini Uganda. [1] Alikuwa mmoja wa washiriki wa awali wa Blu*3 iliyojumuishwa na Lilian Mbabazi na Jackie Chandiru. Amefanya kazi na wasanii kama P-Square, Wahu, Beenie Man, Ne-Yo, Tiwa savage, Bobi Wine, Shaggy, Chameleon, Bebe Cool, Davido, Mr. G na Radio & Weasel.[2]

Sindy Sanyu
Kazi yake mwanamuziki

Marejeo

hariri
  1. "Cindy speaks out". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-10-06. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Cindy, Davido fire up Kigali". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-11-14. Iliwekwa mnamo 5 Januari 2015.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cindy Sanyu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.