Claudia Emerson
Claudia Emerson (13 Januari 1957 – 4 Desemba 2014) alikuwa mshairi wa kike kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 2006 alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Ushairi.
Viungo vya Nje
haririMakala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Claudia Emerson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |