Mgagani
(Elekezwa kutoka Cleome)
Mgagani | ||||||||||||||||
---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|---|
Migagani
| ||||||||||||||||
Uainishaji wa kisayansi | ||||||||||||||||
|
Migagani, migange, mikabili au miangani ni mimea ya jenasi Cleome katika familia na oda Brassicales (kabichi). Mgagani wa kawaida, Cleome gynandra, huliwa takriban kila mahali pa Afrika na katika mabara mengine pia. Wanawake wengi wenye mimba au waliozaa hula mmea huu, kwa sababu una chuma nyingi kiasi na husaidia kuongeza damu[1]. Mboga ya mgagani huitwa magagani.
Spishi
hariri- Cleome allamanii, Mgagani Maua-zambarau
- Cleome angustifolia, Mgagani Maua-njano
- Cleome gynandra, Mgagani wa Kawaida, mgange, mkabili, mwangani
- Cleome hirta, Mgagani-pori, mwangani-pori
- Cleome monophylla, Mgagani Majani-mazima
- Cleome rutidosperma, Mgagani Maua-buluu
- Cleome scaposa, Mgagani-nusujangwa
- Cleome schimperi, Mgagani Maua-pinki
- Cleome viscosa, Mgagani wa Asia
Picha
hariri-
Mchoro wa mgagani wa kawaida
-
Maua
-
Majani
-
Tumba la mbegu
-
Mgagani maua-njano
-
Mgagani maua-buluu
-
Mgagani wa Asia
Marejeo
haririViungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mmea fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mgagani kama uainishaji wake wa kibiolojia, uenezi au matumizi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |