Cleopa David Msuya

(Elekezwa kutoka Cleopa Msuya)

Cleopa David Msuya (amezaliwa 4 Novemba 1931) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Tanzania.Wilaya ya Mwanga Mkoa wa Kilimanjaro,Tarafa ya Usangi. Alikuwa Waziri Mkuu mara mbili, 7 Novemba 1980 hadi 24 Februari 1983, na tena 7 Desemba 1994 hadi 28 Novemba 1995. Kwa sasa ameshastaafu siasa ingawa bado anashika nyadhifa mbali mbali serikalini.

Cleopa David Msuya, Waziri Mkuu na Makamu wa Rais wa zamani wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Viungo vya nje

hariri
Alitanguliwa na
Edward Moringe Sokoine
Waziri Mkuu wa Tanzania
1980-1983
Akafuatiwa na
Edward Moringe Sokoine
Alitanguliwa na
John Samuel Malecela
Waziri Mkuu wa Tanzania
1994-1995
Akafuatiwa na
Frederick Sumaye
Alitanguliwa na
John Samuel Malecela
Makamu wa Rais wa Tanzania
1994-1995
Akafuatiwa na
Omar Ali Juma


  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cleopa David Msuya kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.