Clipperton

Clipperton ni kisiwa cha bahari ya Pasifiki karibu kidogo na Amerika ya Kati (kilometa 1,080 kutoka Meksiko).

Clipperton kutoka angani.

Ukubwa wake ni kilometa mraba 9.

Kwa sasa hakina tena wakazi, lakini kinamilikiwa na Ufaransa.

Viungo vya njeEdit


PichaEdit

Tovuti za kimataifaEdit

Tovuti za KifaransaEdit

Safari kwenda ClippertonEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Amerika ya Kati bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Clipperton kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.