Closer
"Closer" ni wimbo wa mwimbaji wa muziki wa pop-R&B wa Kimarekani - Ne-Yo. Wimbo ulitayarishwa na Stargate.[2]
“Closer” | |||||
---|---|---|---|---|---|
Single ya Ne-Yo kutoka katika albamu ya Year of the Gentleman | |||||
Imetolewa | 10 Juni 2008 | ||||
Muundo | CD single, digital download | ||||
Imerekodiwa | 2008 | ||||
Aina | Pop, R&B | ||||
Urefu | 3:54 | ||||
Mtunzi | Ne-Yo | ||||
Mtayarishaji | Stargate | ||||
Certification | Platinum (RIAA) | ||||
Mwenendo wa single za Ne-Yo | |||||
|
Wimbo ulitolewa ukiwa kama wimbo wa kwanza kutoka katika albamu yake ya tatu ya Year of the Gentleman. Ilishika nafasi ya kwanza katika UK na kutumia takriban wiki 11 katika Kumi Bora za UK. Kwa mujibu wa BBC Radio 1's, "Closer" umekuwa wimbo wa kumi na tano kwa kufanya mauzo makubwa kwa mwaka 2008 katika UK na chati zake.
Chati
haririChati | Nafasi iliyoshika |
---|---|
Australian Singles Chart[3] | 8 |
Austrian Singles Chart[4] | 9 |
Canadian Hot 100 | 19 |
Danish Singles Chart[5] | 18 |
Dutch Top 40[6] | 12 |
German Singles Chart[7] | 4 |
Irish Singles Chart | 3 |
Italian Singles Chart[8] | 10 |
Israeli Singles Chart | 6 |
Mexico Top 100[9] | 99 |
New Zealand Singles Chart | 3 |
Norwegian Singles Chart[10] | 17 |
Swedish Singles Chart | 43 |
Turkey Top 20 Chart[11] | 2 |
UK Singles Chart | 1 |
U.S. Billboard Hot 100 | 7 |
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs | 21 |
U.S. Billboard Hot Dance Club Play | 1 |
U.S. Billboard Pop 100 | 3 |
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-12-29. Iliwekwa mnamo 2009-02-04.
- ↑ Ne-Yo's 'Gentleman' Inspired By Davis, Sinatra at Billboard
- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2009-02-04.
- ↑ austriancharts.at - Austria Top 40 - Hitparade Österreich
- ↑ Velkommen til Hit-listen.dk
- ↑ "Radio 538 = 102 FM | Top 40". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-05-18. Iliwekwa mnamo 2009-02-04.
- ↑ Charts TOP 100 Marktforschung Werbebeobachtung Musik Werbeanalyse
- ↑ [1]
- ↑ [http://web.archive.org/20080619064219/http://www.americatop100.com/mexico/index.htm Archived 19 Juni 2008 at the Wayback Machine. Mexico Top 100
- ↑ norwegiancharts.com - Norwegian charts portal
- ↑ Turkey Top 20 Chart Archived 30 Machi 2008 at the Wayback Machine. Retrieved 18 Agosti 2008