Colombo ni mji mkubwa wa Sri Lanka wenye wakazi 647,100 (2001).[1] Ilikuwa mji mkuu wa nchi hii tangu mwaka 1814 mpaka mwaka 1978.

Sehemu ya Mji wa Colombo


Colombo
Colombo is located in Sri Lanka
Colombo
Colombo
Mahali pa mji wa Colombo katika Sri Lanka
Majiranukta: 6°56′04″N 79°50′34″E / 6.93444°N 79.84278°E / 6.93444; 79.84278
Nchi Sri Lanka
Mkoa Sri Lanka Magharibi
Wilaya Wilaya ya Colombo
Idadi ya wakazi (2001)
 - 647,100
Tovuti: www.cmc.lk

Asili ya jina ni neno la Kisinhala "Kolamba" linalomaanisha bandari.

MarejeoEdit

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Colombo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.