Constance Benson
Gertrude Constance Cockburn Benson (26 Februari 1864 - 19 Januari 1946) alikuwa mwigizaji wa jukwaa na filamu wa Uingereza. Kabla ya ndoa yake na Frank Benson, alijulikana kwa jina la kisanii Constance Featherstonhaugh.[1]
Wasifu
haririBenson alizaliwa katika familia ya kijeshi, na kubatizwa jina la Gertrude Constance Cockburn Samwell. Alipanda jukwaani kwa jina la Featherstonhaugh, ambalo lilikuwa jina la kati la baba yake, Morshead Featherstonhaugh Samwell. [2][3]
Marejeo
hariri- ↑ Arthur Machen, Montgomery Evans, Arthur Machen & Montgomery Evans: Letters of a Literary Friendship, 1923–1947 (Kent State University Press, 1994), p. 170
- ↑ "Benson Brynhild Lucy" in Register of Births for Brentford Registration District, vol. 3a (1888), p. 71
- ↑ "Kelly, Brynhilde Lucy born 30 AUG 1888" in Register of Deaths for Wycombe Registration District, vol. 19 (1974), p. 1154
Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Constance Benson kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |