Constans I (323 hivi - 350) alikuwa Kaizari wa Dola la Roma kuanzia 337 hadi kifo chake.

Sanamu ya Constans I

Alimfuata baba yake Konstantino Mkuu akafuatwa na Vetranio na Constantius II.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu Kaizari fulani wa Roma bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Constans I kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.