Corazón ni mlima wa Andes katika nchi ya Ekwador (Amerika Kusini).
Urefu wake ni mita 4,782 juu ya usawa wa bahari.