Costa Titch

Mwanamuziki wa Afrika Kusini

Costantinos Tsobanoglou (anajulikana zaidi kwa jina lake la kisanii Costa Titch; 26 Januari 1995 - 11 Machi 2023) alikuwa rapa, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo, na densa wa Afrika Kusini.[1]

Wasifu

hariri

Mwazoni kabisa msanii Costa Titch alikuwa na mapenzi makubwa na kucheza ama kudensi na masuala yanayohusu burudani. Kisha, mnamo mwaka 2014, alihamia Johannesburg, ambapo aliendeleza mapenzi yake kama rapa.[2]

Kifo chake

hariri

Mnamo 11 Machi 2023, Titch alianguka akiwa jukwaani na kufariki[3][4][5] alipokuwa akitumbuiza moja ya nyimbo zake katika tamasha la muziki la Ultra nchini Afrika Kusini huko Johannesburg.

Video zinazosambaa kwenye mitandao ya kijamii zilionyesha wakati alipoanguka jukwaani. Chanzo cha kifo chake hakijajulikana.[6][7][8]

Nyimbo zake

hariri

Titch alishirikiana na waimbaji mbalimbali mashuhuri barani Afrika na nje, ikiwa ni pamoja na Akon kwenye remix ya wimbo wake wa "Big Flexa" uliowashirikisha wanamuziki wenzake wa amapiano Alfa Kat na mtayarishaji Ma Gang,[9][10] pia alishirikiana na msanii diamond Platnum kwenye wimbo wake "SuperStar".[11]

Aina ya muziki

hariri

Wimbo wake "Ayeye" ulipokelewa vizuri sana na mashabiki wake, kutokana na ujumbe wake mzuri na mzito wa kutia moyo,na kuhusu kuwa na matumaini licha ya matatizo ya maisha.[12]

Diskografia

hariri

Studio albums

Collaborative albums

Extended plays

  • Trapiano Vol.1 (2022) [7]
  • For Real Trappers Only (2018) [8]
  • OMWTFYB
  • Wonderland (2018) [9]
  • Gqom Land
  • Fallen Kings

Marejeo

hariri
  1. "'Death robbed us of our son', Costa Titch's family cries out". Vanguard. Machi 12, 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. halexaxination (2023-03-12). "Costa Titch Biography: Age, Profile, Net Worth 2023, Education & Background". AFROHITS (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-12. Iliwekwa mnamo 2023-03-12. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  3. "Ukraine yaanzisha uchunguzi wa uhalifu baada ya mashambulio ya makombora ya Urusi - BBC Swahili". BBC News Swahili. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  4. "Burudani". Mwanaspoti (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  5. "South African artist Costa Titch dies on stage". The Citizen (kwa Kiingereza). 2023-03-12. Iliwekwa mnamo 2023-03-13.
  6. Mpini, Siyabonga (2023-03-11). "BREAKING: South African Rapper Costa Titch Dies". iHarare News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  7. "Costa Titch dead: South African rapper dies aged 28 after 'collapsing on stage at festival'". Sky News (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  8. King, Chris (2023-03-12). "South African rapper Costa Titch collapses and dies on stage in Johannesburg". Euro Weekly News (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  9. Banda, Clive (2023-03-06). "Costa Titch 'Big Flexa Remix' Ft Akon Hits Paramount YouTube Landmark". SA Hip Hop Mag (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  10. Agyare, Peace (2023-02-10). "Costa Titch & Akon – Big Flexa (Remix) ft. Ma Gang Official, Alfa Kat". Ghafla Music (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2023-03-12. Iliwekwa mnamo 2023-03-12. {{cite web}}: More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help)
  11. "AUDIO Costa Titch - Superstar Ft Diamond Platnumz X Ma Gang MP3 DOWNLOAD — citiMuzik" (kwa American English). 2023-03-13. Iliwekwa mnamo 2023-04-04.
  12. "Costa Titch Songs, Albums, Reviews, Bio & More". AllMusic (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-03-12.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Costa Titch kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.