Coventry City F.C.

Coventry City F.C. ni klabu ya mpira wa miguu iliyoko huko Coventry katika mji wa West Midlands, Uingereza.

Uwanja wa mpira wa miguu wa Coventry City F.C.

Klabu hii ilianzishwa mwaka 1883 kwa jina la Singers F.C. na Willie Stanley, mfanyakazi wa mzunguko wa Singer Motors.

Mwaka wa 1898, jina likabadilishwa na kuwa Coventry City F.C.

Football.svg Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Coventry City F.C. kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.