Midlands Magharibi
(Elekezwa kutoka West Midlands)
Midlands Magharibi (Kiing.: West Midlands) ni moja ya mikoa 9 ya kujitawala ya Uingereza. Idadi ya wakazi wake ni takriban 5,267,337. Mji wake mkuu ni Birmingham.
West Midlands | |
Mahali pa Uingereza Midlands Magharibi katika Uingereza | |
Nchi | Ufalme wa Muungano |
---|---|
Sehemu | Uingereza |
Mji mkuu | Birmingham |
Eneo | |
- Jumla | 13,004 km² |
Idadi ya wakazi (2001) | |
- Wakazi kwa ujumla | 5,267,337 |
Tovuti: http://www.go-wm.gov.uk/ |
Tazama pia
haririWikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Uingereza bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Midlands Magharibi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
London Mkuu | Kaskazini-Magharibi | Kaskazini-Mashariki | Kusini-Magharibi | Kusini-Mashariki | Mashariki | Midlands Magharibi | Midlands Mashariki | Yorkshire na Humber |