Cristallo (mlima) ni mlima wa Alpi katika nchi ya Italia (Ulaya Kusini).

Mlima Cristallo, upande wa Kusini

Urefu wake ni mita 3,221 juu ya usawa wa bahari, hivyo ni wa tano kati ya milima yote ya Dolomiti.

Tazama pia hariri