Cyle Christopher Larin (alizaliwa 17 Aprili 1995) ni mchezaji wa soka wa Kanada ambaye anacheza kama mshambuliaji wa kushoto katika klabu ya La Liga RCD Mallorca na timu ya kitaifa ya soka ya Kanada. [1][2]

Larin akiwa na Beşiktaş J.K. mwaka 2021.

Marejeo

hariri
  1. Sport, Standard (Februari 14, 2018). "How to pronounce Champions League stars' names correctly". Standard.co.uk.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Cyle Larin and Kwame Awuah Commit to the University of Connecticut". Sigma FC. Iliwekwa mnamo Mei 23, 2014.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cyle Larin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.