DJ Premier

Christopher Edward Martin (amezaliwa tar. 21 Machi 1966[1]) ni mtayarishaji wa rekodi na DJ kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama DJ Premier, na mtengenezaji wa muziki wa kundi la watu wawili Gang Starr, akiwa pamoja na rapa/mwimbaji Guru.

DJ Premier
DJ Premier.jpg
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa Christopher Edward Martin
Amezaliwa 21 Machi 1966 (1966-03-21) (umri 54)
Houston, Texas, Marekani
Asili yake Houston, Texas, Marekani
Aina ya muziki Hip hop
Kazi yake Mtayarishaji wa rekodi, DJ
Ala Drum machine
Kinanda
Sampler
Turntable
Miaka ya kazi 1987–mpaka sasa
Studio Wild Pitch/EMI (1987–1990)
Chrysalis/EMI (1991–1998)
Virgin/EMI (1998–2003)
Year Round (2003–)

Kiasili anatokea mjini Houston, lakini ameishi zaidi mjini Brooklyn, New York, kwa ajili ya shughuli zake za kitaalamu. Premier anatazamika kama ndiye mbunifu kwa staili ya "hardcore East Coast hip-hop inayojulikana sana kwa ngoma zake nzito na michano."[2]

Gazeti la The Source limempa jina DJ Premier kuwa kama mmoja kati ya watayarishaji watano wakubwa wa muziki wa hip hop katika historia, wakati wahariri wa About.com wamempa cheo cha #1 katika orodha ya watayarishaji Bora-50.[3]

MatayarishoEdit

SampuliEdit

AthiraEdit

Mahusiano yake na wasaniiEdit

DiskografiaEdit

MarejeoEdit

  1. allmusic Biography
  2. Chris Ryan. The Beatnuts Biography. Rolling Stone.
  3. Henry Adaso; Ivan Rott, Renato P., Bhaskar S., Henry A.. Top 50 Hip-Hop Producers 8. About.com.

Viungo vya NjeEdit

  Makala hii kuhusu mwanamuziki/wanamuziki fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu DJ Premier kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.