Guru (rapa)
Guru (amezaliwa kama Keith Edward Elam, mnamo 17 Julai 1966 - 19 Aprili 2010), mjini Roxbury,[1] alikuwa rapa wa muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Huyu ni mmoja kati ya waanzilishi na mwandishi mkuu wa kundi la hip hop la Gang Starr, akiwa pamoja na DJ Premier.
Guru | |
---|---|
| |
Maelezo ya awali | |
Amezaliwa | 17 Julai 1966 |
Asili yake | Boston, Massachusetts |
Aina ya muziki | Hip Hop, Jazz |
Kazi yake | Rapa, Mtayarishaji |
Miaka ya kazi | 1987–2010 |
Studio | Wild Pitch Records (1987–1990) Virgin Records (1991–2003) Ill Kid Records (1995-2005) 7 Grand (2003–2010) |
Kwa kufuatia mfululizo wake wa albamu ya Jazzmatazz, huyu pia anafikirika kama mmoja kati wa waanzilishi wa muziki wa hiphop/jazz. Jina la Guru linasimama kama "Gifted Unlimited Rhymes Universal" na kuna kipindi hutumia kama "God is Universal, au Ruler Universal".
Albamu ya Kujitegemea
haririMaelezo ya Albamu |
---|
Version 7.0: The Street Scriptures |
Guru 8.0: Lost and Found |
Filmografia
hariri- Grand Theft Auto: Liberty City Stories 2005 kama 8-Ball
- Kung Faux 2003 kama Voice Over/Various
- Urban Massacre 2002 kama Cereal Killah
- Grand Theft Auto III 2001 kama 8-Ball
- 3 A.M. 2001 kama Hook-Off
- Train Ride 2000 kama Jay
- The Substitute 2: School's Out 1998 kama Little B.
- Who's the Man? 1993 kama Martin Lorenzo
Marejeo
hariri- ↑ Several seemingly reliable sources state that he was born in 1966, e.g. Birchmeier, Jason "Gang Starr Biography", Allmusic, Macrovision Corporation, and "Afternoon Fix: Celebrity Birthdays", MTV, retrieved 23 Septemba 2008
Viungo vya Nje
hariri- Guru (rapa) katika MySpace
- Guru Waxpoetics Interview Ilihifadhiwa 3 Juni 2009 kwenye Wayback Machine.
- guru7grand.net 7 Grand Records website
- Official Guru's Jazzmatazz site Ilihifadhiwa 18 Novemba 2007 kwenye Wayback Machine.
- Guru kwenye Internet Movie Database
- Guru Jazzmatazz interview Ilihifadhiwa 12 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Guru and Solar Interview with ArtOfRhyme.com Ilihifadhiwa 25 Desemba 2008 kwenye Wayback Machine.
- Guru Interview with Britishhiphop.co.uk
- Guru and Solar Interview with http://www.gowherehiphop.com 02.20.08 Ilihifadhiwa 11 Januari 2009 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya muziki bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Guru (rapa) kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |