Daemusin wa Goguryeo
Mfalme Daemusin wa Goguryeo (4-44, r. 18-44) alikuwa mtawala wa tatu wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea. Mfalme Daemusin aliiongoza Goguryeo ya awali kupitia kipindi cha upanuzi mkubwa wa maeneo, na kuweza kushinda kuchukua vinchi vidogodogo vingi tu na ufalme wenye nguvu wa Dongbuyeo.
Ufalme wa Korea Goguryeo |
---|
|
Marejeo
haririTazama pia
hariri
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daemusin wa Goguryeo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |