Mobon wa Goguryeo
Mfalme Mobon wa Goguryeo (? - 53) alikuwa mtawala wa tano (48-53) wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea.
Ufalme wa Korea Goguryeo |
---|
|
Tazama pia
haririMakala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mobon wa Goguryeo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |