Yuri wa Goguryeo
Mfalme Yuri wa Goguryeo alikuwa mtawala wa pili wa taifa la Goguryeo, huko mbali kabisa kuelekea maeneo ya kaskazini mwa Falme Tatu za Korea. Mwaka wa kuzaliwa kwake haujulikani. Alikuwa mtoto wa kwanza wa mwanzilishi wa nchi Mfalme Dongmyeongseong. Alitawala kuanzia mwaka wa 19 KK hadi kifo chake mwaka wa 18 BK. Kama jinsi watawala wengine wa awali wa Korea, matukio mengi ya maisha yake yamejulikana sana kutoka kwa Samguk Sagi.
Ufalme wa Korea Goguryeo |
---|
|
Marejeo
haririTazama pia
hariri
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Yuri wa Goguryeo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |