Dalaly Peter Kafumu

(Elekezwa kutoka Dalaly Kafumu)

Dalaly Peter Kafumu ni mwanasiasa Mtanzania na mwanachama wa chama cha kisiasa cha CCM. Amechaguliwa kuwa mbunge wa Igunga kwa miaka 20112020. [1]

Dalaly Kafumu

Marejeo hariri

  1. Tovuti ya Bunge la Tanzania, iliangaliwa Mei 2017