Igunga
Igunga ni kata iliyo makao makuu ya Wilaya ya Igunga katika Mkoa wa Tabora, Tanzania, yenye postikodi namba 45601.
Igunga | |
Mahali pa Igunga katika Tanzania |
|
Majiranukta: 4°16′48″S 33°52′48″E / 4.28000°S 33.88000°E | |
Nchi | Tanzania |
---|---|
Mkoa | Tabora |
Wilaya | Igunga |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 82,768 |
Katika sensa ya mwaka 2022 wakazi wa kata walihesabiwa 82,768 [1]. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 51,172 waishio humo.[2]
Igunga ni kati ya maeneo ambako imani ya ushirikina inaleta matatizo ya mauaji ya kiholela ya watu wanaoshukiwa kuwa wachawi.
Marejeo
haririViungo vya nje
hariri- Taarifa juu ya ugomvi kutokana na hofu ya uchawi Ilihifadhiwa 12 Juni 2008 kwenye Wayback Machine.
Kata za Wilaya ya Igunga - Mkoa wa Tabora - Tanzania | ||
---|---|---|
Bukoko | Chabutwa | Chomachankola | Iborogelo | Igoweko | Igunga | Igurubi | Isakamaliwa | Itumba | Itunduru | Kining'ila | Kinungu | Kitangili | Lugubu | Mbutu | Mtunguru | Mwamakona | Mwamala | Mwamashiga | Mwamashimba | Mwashikumbili | Mwisi | Nanga | Ndembezi | Ngulu | Nguvumoja | Nkinga | Ntobo | Nyandekwa | Simbo | Sungwizi | Tambalale | Ugaka | Uswaya | Ziba |
Makala hii kuhusu maeneo ya Mkoa wa Tabora bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Igunga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. Tafadhali usiingize majina ya maafisa au viongozi wa sasa maana wanabadilika mno. |