Dalili ni alama zinazotambulisha kitu fulani kwamba kimekuja, kinakuja au kitakuja.
Dalili zipo za aina mbalimbali, kama vile dalili za magonjwa, mvua n.k.
Mawingu ambayo ni dalili ya mvua
Dalili za ugonjwa unaotokana na malaria