Dalmatika ni vazi la nje la shemasi katika liturujia ya Kanisa Katoliki, Waanglikana n.k.

Papa Benedikto XVI akisindikizwa na shemasi aliyevaa dalmatika
Dalmatika azizi ya zamani

Inaweza kuwa ya rangi tofauti kadiri ya adhimisho husika.

Mara kadhaa Askofu anaivaa chini ya kasula kuonyesha kamba ana utimilifu wa Daraja takatifu.

Historia hariri

Kwa asili ilikuwa vazi la Kaisari wa Dola la Roma la Mashariki, lakini kuanzia karne ya 4 inatumika katika ibada.

Viungo vya nje hariri