Daman na Diu
Daman na Diu ni eneo la muungano la jamhuri ya India. Katikati ya miji hiyo miwili ya pwani kuna kilometa 650.
Eneo lote ni la kilometa mraba 102.
Kwa zaidi ya miaka 450 ilikuwa koloni la Ureno pamoja na Goa, hadi ilipovamiwa na kumezwa na India mwaka 1961. Mwaka 1987 Goa ilipata kuwa jimbo la kujitegemea.
Makao makuu ni Daman.
Wakazi ni 242,911 (2011).
Viungo vya nje
haririDaman and Diu travel guide kutoka Wikisafiri