Damian Lillard (alizaliwa 15 Julai 1990) ni mchezaji wa mpira wa kikapu kutokea Marekani anayeichezea timu ya Portland Trail Blazers katika Chama cha taifa cha mpira wa kikapu (NBA).

Lillard mwaka 2019

Baada ya kuichezea timu ya Weber State Wildcats. Alichaguliwa kama chaguo la 12 kwenye machaguzi ya wachezaji wa mpira wa kikapu na Chama cha taifa cha mpira wa kikapu(NBA) mnamo mwaka 2012 katika timu ya Portland Trail Blazers.

Lillard amefanikiwa kuteuliwa mara nne katika timu ya mastaa Marekani.

Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Damian Lillard kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.