Damiani wa Aleksandria

(Elekezwa kutoka Damian wa Aleksandria)

Damian wa Aleksandria alikuwa askari wa Misri aliyeuawa kwa ajili ya imani yake pamoja na watoto wawili, Modesti na Amoni.

Anaheshimiwa na Waorthodoksi wa Mashariki, Waorthodoksi na Wakatoliki kama mtakatifu mfiadini.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 12 Februari[1].

Tazama pia hariri

Tanbihi hariri

  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.