Dan Quayle

James Danforth "Dan" Quayle (amezaliwa 4 Februari 1947) ni mwanasiasa wa Marekani. Kuanzia mwaka wa 1981 hadi 1989 alikuwa mbunge wa Senati ya Marekani akiwakilisha jimbo la Indiana. Halafu alikuwa Kaimu Rais wa Marekani chini ya Rais George H. Bush kuanzia mwaka wa 1989 hadi 1993.

Dan Quayle, Kaimu Rais wa Marekani
Crystal personal.svg Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dan Quayle kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.