Daniel Chongolo
Daniel Godfrey Chongolo ni mwanasiasa wa Tanzania na kwasasa ni Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi akichukua nafasi iliyo achwa wazi na Bashiru Ally; aliteuliwa chini ya raisi wa sasa Mh, Samia Suluhu Hassan mnamo Aprili 30, 2021.[1] [2]. Kabla ya nafasi ya ukatibu mkuu, Chongolo alikuwa mkuu wa Wilaya ya Kinondoni iliyopo katika mkoa wa Dar es salaam na kabla ya hapo, aliwahi kuhudumu kama mkuu wa wilaya ya Longido mkoani Manyara. [3] [4] [5]
Daniel Godfrey Chongolo | |
---|---|
Kazi yake | mwanasiasa Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi |
Elimu
haririMnamo mwaka 2014 Chongolo alihitimu katika Chuo Kikuu Huria cha Tanzania na kupokea shahada, mahafali yake yalihudhuriwa na mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Asha Abdullah Juma.[6]
Siasa
haririKabla ya kuteuliwa Chongolo alikuwa mkurugenzi wa kitengo cha mawasiliano cha Chama cha Mapinduzi makao makuu Dodoma.[7] [8]
Viungo vya nje
haririAngalia mengine kuhusu Daniel Chongolo kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Daniel Chongolo katika Instagram
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |
Marejeo
hariri- ↑ "Daniel Chongolo appointed CCM's Secretary General". The Citizen. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-03. Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "CCM Secretary General Daniel Chongolo". Chama Cha Mapinduzi. Iliwekwa mnamo 30 Aprili 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ This is the new General Secretary of CCM
- ↑ "Daniel Gabriel Chongolo as a new SG of CCM Party". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-05-04. Iliwekwa mnamo 2021-05-27.
- ↑ Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa CCM
- ↑ "Prominent CCM members shines through their graduation". Chama Cha Mapinduzi. Iliwekwa mnamo 26 Oktoba 2013.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ "Daniel Chongolo and other CCM Member leaders succeed in High Learning". Nkoromo.
- ↑ "Who is Daniel Chongolo". Mwananchi Media. Iliwekwa mnamo 1 Mei 2021.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link)
Makala hiyo kuhusu mwanasiasa wa Tanzania bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |