30 Aprili
tarehe
(Elekezwa kutoka Aprili 30)
Mac - Aprili - Mei | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 30 Aprili ni siku ya 120 ya mwaka (ya 121 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 245.
Matukio
hariri- 711 - Jeshi la Waarabu Waislamu, likiongozwa na jemadari Tariq ibn Ziyad, linavuka mlango wa bahari wa Gibraltar na kuanza uvamizi wa Hispania
Waliozaliwa
hariri- 1651 - Mtakatifu Yohane Baptista de La Salle, padri wa Kanisa Katoliki kutoka Ufaransa
- 1914 - Vermont Royster, mwandishi wa habari kutoka Marekani
- 1946 - Carl XVI Gustaf, mfalme wa Uswidi
- 1982 - Lloyd Banks, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 1828 - Francisco de Goya, mchoraji kutoka Hispania
- 1842 - Mtakatifu Yosefu Benedikto Cottolengo, padri kutoka Italia
- 1883 - Édouard Manet, mchoraji kutoka Ufaransa
- 1945 - Adolf Hitler, dikteta wa Ujerumani anajiua mjini Berlin pamoja na mke wake Eva Braun.
- 1956 - Alben Barkley, Kaimu Rais wa Marekani
- 1989 - Sergio Leone, muongozaji wa filamu kutoka Italia
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Papa Pius V, Sofia wa Fermo, Kwirino wa Roma, Eutropi wa Saintes, Diodori na Rodopiani, Donati wa Eurea, Laurenti wa Novara, Merkuriali, Pomponi wa Napoli, Aulo, Erkonvaldi, Amatori, Petro na Ludoviko, Gwalfadi, Ajuture, Maria wa Umwilisho Guyart, Yosefu Benedikto Cottolengo, Yosefu Tuan Van Tran n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Archived 17 Februari 2007 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 30 Aprili kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |