Kideni ni moja kati ya lugha za Kijerumaniki, kinazungumzwa nchini Udeni, Visiwa vya Faroe, na sehemu kadhaa za Grinlandi na Ujerumani (Kusini mwa Schleswig). Idadi ya wasemaji wa lugha hii inakadiriwa kuwa ni milioni 5.5. Nchini Grinlandi na Kisiwani Faroe, lugha hii inatumika kama ya pili kitaifa. Kwa watu wa Udeni, au Wadeni, lugha hii inajulikana kama dansk.

Lahaja za Kideni

Hapa kuna mifano miwili ya Kideni:

Kiswahili Kideni
Salam Hej
Kwaheri Farvel
Ahsante Tak
Unatoka Wapi ? Hvor kommer du fra?
Pamoja Med
Mimi Jeg
Ndiyo Ja
Hapana Nej
am/are/is Er
Kiingereza Engelsk
Kama Hvis
Ninakupenda Jeg elsker dig
Chumba Værelse
Copenhagen København
Ankara Regning
Msosi Mad
Sawa Okay
Mwamvuli Paraply
Wapi Hvor
Nani Hvem
Ipi Hvilken/hvilket
Bei Prisen
Iko wapi Hvor er
Uwa. Ndege Lufthavn
Barabara Vej
Jogoo Hane
Kuku Jike Kylling
Samaki Fisk
Asiyekula nyama Vegetar
Fananisha Sammenligne
Treni Tog

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kideni kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.