Danny Mrwanda

Mchezaji wa Mpira wa Tanzania

Danny Mrwanda (alizaliwa Aprili 6, 1983) ni mchezaji wa kimataifa wa mpira wa miguu kutokea nchini Tanzania,anayecheza kama mshambuliaji katika timu ya Hoang Anh Gia Lai Club nchini Vietnam.

Taaluma

hariri

Mrwanda amewahi kuichezea timu ya Arusha FC ya mkoa wa Arusha pamoja na timu ya Simba S.C..

Nchini Kuwaiti amechezea timu ya Al Tadamon, na nchini Vietnam amechezea timu ya Hoang Anh Gia Lai Club. [1][2]

Marejeo

hariri
  1. Danny Mrwanda at National-Football-Teams.com
  2. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-08-26. Iliwekwa mnamo 2020-06-19.
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Danny Mrwanda kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.