Daraja jipya la Ruvu
Daraja jipya la Ruvu ni daraja linalovuka Mto Ruvu karibu na Mlandizi nchini Tanzania. Ni daraja muhimu kwenye njia ya barabara kuu A7 kati ya Dar es Salaam na Morogoro.
Daraja jipya la Ruvu English: New Ruvu Bridge | |
---|---|
Yabeba | Barabara kuu ya A7 (leni 2) |
Yavuka | Mto Ruvu |
Mahali | Mkoa wa Pwani |
Mmiliki | Serikali ya Tanzania |
Mbunifu wa mradi | NORPLAN Tanzania |
Urefu | mita 135 |
Mjenzi | Chico (China) |
Gharama za ujenzi | TZS 44 bilioni |
Kilizinduliwa | Mei 2009 |
Badala ya | Daraja la Ruvu |
Anwani ya kijiografia | 6°41′26″S 38°41′40″E / 6.69056°S 38.69444°E |
Makala hii kuhusu daraja barani Afrika bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |