David Cohen (mwanasheria)
Makala hii au sehemu ya makala hii inahitaji masahihisho kwa upande mmoja wa zifuatazo:
|
David Cohen (Agosti 1, 1946 - Mei 14, 2021) alikuwa mwanasheria wa uhamiaji wa Canada, akiwa na makazi yake huko Montreal, Quebec. Alikuwa mshirika mkuu katika kampuni ya Sheria ya Uhamiaji ya Cohen,alitoa ushahidi juu ya masuala ya uhamiaji kwa Bunge la Canada. Alikuwa anatambuliwa kwa matumizi yake ya mtandao kusaidia wahamiaji kuhamia na kuweka makazi nchini Canada. Alikufa Mei 14, 2021.[1]
Elimu
haririCohen alihitimu mwaka 1972 kutoka Chuo Kikuu cha Sheria cha McGill na shahada ya Sheria ya Kiraia.[2]
Marejeo
hariri- ↑ "David Cohen - Funeral Information, Obituary, Condolences - Papermans & Sons, Montreal, Quebec, Canada". www.paperman.com. Iliwekwa mnamo 2021-05-20.
- ↑ "David Cohen Professional Credentials McGill University". Canadavisa.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2021-03-06.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Cohen (mwanasheria) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |