David Malet Armstrong
David Malet Armstrong (hujulikana sana kama D. M. Armstrong; 8 Julai 1926 - 13 Mei 2014) alikuwa mwanafalsafa wa Australia. Anajulikana kwa kazi yake juu ya falsafa ya akili.
Alisoma katika Chuo Kikuu cha Sydney, Armstrong alipata B.Phil katika Chuo Kikuu cha Oxford na Ph.D katika Chuo Kikuu cha Melbourne. Alifundisha katika Chuo cha Birkbeck mnamo 1954-55, kisha katika Chuo Kikuu cha Melbourne kutoka 1956-63. Mnamo mwaka 1964, alikua Profesa wa falsafa ya Challis katika Chuo Kikuu cha Sydney.
Falsafa
haririFalsafa ya Armstrong ni ya sili sana. Armstrong anasema kuwa mfumo wake wa falsafa ni huu "The assumption that all that exists is the space time world, the physical world as we say". Anahalalisha hii kwa kusema kwamba ulimwengu wa kidunia "unaonekana dhahiri upo" wakati mambo mengine "yanaonekana kuwa ya kisaikolojia tu".
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David Malet Armstrong kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |