13 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 13 Mei ni siku ya 133 ya mwaka (ya 134 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 232.
Matukio
hariri- 1572 - Uchaguzi wa Papa Gregori XIII
- 1607 - Wafanyabiashara Waingereza waunda mji wa Jamestown, Virginia utakaokuwa kituo cha kwanza cha kudumu cha Uingereza katika Amerika ya Kaskazini na chanzo cha Marekani.
Waliozaliwa
hariri- 1655 - Papa Innocent XIII
- 1792 - Mwenye heri Papa Pius IX, aliyeongoza Kanisa Katoliki muda mrefu kuliko wote
- 1857 - Sir Ronald Ross, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1902
- 1950 - Stevie Wonder, mwanamuziki wa Marekani
- 1972 - Giovanni Tedesco, mchezaji mpira wa Italia
Waliofariki
hariri- 1930 - Fridtjof Nansen, mpelelezi na mwanasiasa Mnorwei, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1922
- 2001 - Jason Miller, mwandishi na mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 2006 - Peter Viereck, mshairi kutoka Marekani
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Bikira Maria wa Fatima, Servasi, Agnes wa Poitiers, Andrea Hubati Fournet n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 13 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |