"Always Be My Baby" ni wimbo uliondikwa na kutayarishwa na mwanamziki anayeimba miondoko ya pop Mariah Carey akishirikiana na Jermaine Dupri pamoja na Manuel Seal. Wimbo huu ulitoka ramsi mwaka 1996, kama single ya tatu katika toleo la Marekani kutoka katika albamu ya nne ya Carey. Wimbo wa Daydream wa mwaka (1995),ulifika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Marekani ya Billboard Hot 100 na kufika katika nafasi ya 2 nchini Canada. Mwaka 1996, wimbo huu ulimwezesha Carey kupata tuzo ya Mwanamuziki bora wa kike wa muziki wa R&B.

“Always Be My Baby”
“Always Be My Baby” cover
Single ya Mariah Carey
Muundo CD single, cassette single
Aina Pop, R&B
Urefu 4:18
Studio Columbia
Mtunzi Mariah Carey, Jermaine Dupri, Manuel Seal, Jr.
Mtayarishaji Mariah Carey, Jermaine Dupri, Manuel Seal
Certification 2x Platinum (U.S.)
Gold (Australia, New Zealand)
Mwenendo wa single za Mariah Carey
"Open Arms"
(1995)
"Always Be My Baby"
(1996)
"Forever"
(1996)

"Always Be My Baby" ulianza kupigwa katika vituo mbalimbali vya redio Amerika ya Kaskazini tarehe 26 Machi26, na wimbo huu ukawa wimbo wa kumi na moja kutoka kwa Carey kufika kuingia katika chati ya Billboard Hot 100. Lakini tofauti na nyimbo zilizotangulia kama vile, "Fantasy" na "One Sweet Day", wimbo huu haukufanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza na badala yake uliishia katika nafasi ya pili lakini baadae ulikuja kufika katika nafasi hiyo na kukaa hapo kwa kipindi cha wiki mbili, na kurudia katika nafasi ya pili ambapo ilikaa hapo kwa kipindi cha wiki tisa lakini sio mfululizo. Hadi hii leo, huu ndio wimbo kutoka Carey uliowahi kukaa katika nafasi ya pili kwa kipindi kirefu zaidi


"Always Be My Baby" ulipigwa zaidi katika nchini Marekani, na mwaka 1996, wimbo huu ulitajwa kuwa moja ya nyimbo katika chati ya Hot 100 Airplay lakini hata kutokana na mafanikio haya haukuweza kufika katika nafasi ya kwanza kwa kipindi kizima cha mwaka 1996. Alishirikiana na mwanamziki mwingine na wimbo huo ndio ulifanikiwa kufika katika nafasi ya kwanza katika chati ya Hot Adult Top 40 Tracks. Na kufika katika nafasi ya tano katika chati ya Hot Adult Contemporary Tracks na chati ya Top 40 Mainstream .

Nje ya Marekani, wimbo huu pia ulikuwa na mafanikio, lakini haukuweza kupata mafanikio ya wimbo wa Fantasy katika masoko mbalimbali. Japokuwa ulifanya vibaya kulinganisha na nyimbo kama vile ;;One Sweet Day ulifanikiwa kufika katika nyimbo tano bora za nchini Canada na Uingereza, ambako huku ulifanya vizuri zaidi kulinganisha na nyimbo mbalimbali za Carey. Nchini Australia ulifanikiwa kuingia katika nyimbo ishirini bora.

Video ya muziki

hariri
 
Carey on the set of the music video for "I Still Believe".

Video ya muziki hii, iliongozwana yeye mwenyewe, ambapo alikuwa akielezea jinsi wapenzi wadogo wawili wakiwa katika katikati ya usiku. Video hii ilifanyika katika eneo la Carey analolifadhili la Fresh Air Fund katika jiji la New York

Muundo la orodha ya nyimbo

hariri

European CD single #1

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri Mix) (feat. Da Brat & Xscape)

European CD single #2

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Def Classic Radio Version)

North American CD single

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri Mix) (feat. Da Brat & Xscape)
  3. "Slipping Away"

Australian/European/U.S. CD maxi-single #1

  1. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri No Rap Radio Mix) (feat. Xscape)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri mix featuring Da Brat and Xscape)
  3. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri extended mix featuring Da Brat and Xscape)
  4. "Always Be My Baby" (Reggae soul mix featuring Li'l Vicious)
  5. "Always Be My Baby" (album version)

Australian/European CD maxi-single #2

  1. "Always Be My Baby" (Def Classic Radio Version)
  2. "Always Be My Baby" (Always Club Mix)
  3. "Always Be My Baby" (Groove-A-Pella)
  4. "Always Be My Baby" (ST Dub)

Japanese CD single

  1. "Always Be My Baby" (Album Version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri Mix) (feat. Da Brat & Xscape)
  3. "Long Ago"

UK maxi-single #1

  1. "Always Be My Baby" (album version)
  2. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri extended mix featuring Da Brat and Xscape)
  3. "Always Be My Baby" (Mr. Dupri no rap radio mix featuring Xscape)
  4. "Always Be My Baby" (Reggae soul mix featuring Li'l Vicious)
  5. "Always Be My Baby" (Reggae soul dub mix)

UK CD maxi-single #2

  1. "Always Be My Baby" (Def classic radio version)
  2. "Always Be My Baby" (Always club mix)
  3. "Always Be My Baby" (Dub-a-baby)
  4. "Always Be My Baby" (Groove a pella)
  5. "Always Be My Baby" (ST dub)

Chati (1996) Ilipata
nafasi
Australian Singles Chart[1] 17
Canadian Singles Chart[2] 2
Dutch Singles Chart[3] 27
European Singles Chart[4] 19
German Singles Chart[5] 76
Irish Singles Chart[6] 10
Japanese Singles Chart[7] 79
New Zealand Singles Chart[8] 5
Swedish Singles Chart[9] 38
UK Singles Chart[10] 3
U.S. Billboard Hot 100[11] 1
U.S. Billboard Hot Adult Contemporary Tracks[11] 2
U.S. Billboard Hot Dance Club Play[11] 6
U.S. Billboard Hot R&B/Hip-Hop Songs[11] 1

Msambazaji Mauzo Certification
Australia 35,000+ Gold
New Zealand 7,500+ Gold
United States 2,000,000+ 2x Platinum

Tazama pia

hariri

Marejeo

hariri
  1. Australian Singles Chart
  2. Canadian Singles Chart
  3. Dutch Singles Chart
  4. "European Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2009-05-25. Iliwekwa mnamo 2010-01-24.
  5. German Singles Chart
  6. Irish Singles Chart
  7. Japanese Singles Chart
  8. "New Zealand Singles Chart". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-10-27. Iliwekwa mnamo 2010-01-24. {{cite web}}: Unknown parameter |= ignored (help)
  9. Swedish Singles Chart
  10. UK Singles Chart
  11. 11.0 11.1 11.2 11.3 "Artist Chart History - Mariah Carey". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-04-04. Iliwekwa mnamo 2008-04-04.