Dennis Dexter Haysbert (amezaliwa tar. 2 Juni 1954) ni mwigizaji wa filamu na televisheni kutoka nchini Marekani. Anafahamika zaidi kwa kucheza kama Nelson Mandela katika filamu ya Goodbye Bafana, mchezaji baseball Pedro Cerrano katika seti ya mfululizo wa filamu ya Major League, Rais David Palmer katika mfululizo wa kipindi cha televisheni cha 24, na Sajenti Meja Jonas Blane katika seti ya The Unit. Pia, anafahamika sana kwa sauti yake iliozito.

Dennis Haysbert

Amezaliwa Dennis Dexter Haysbert
2 Juni 1954 (1954-06-02) (umri 70)
San Mateo, California, Marekani
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1978–hadi leo
Ndoa Lynn Griffith (1989-2001)
Elena Simms (1980-1984)

Wasifu

hariri

Maisha ya awali

hariri

Maisha binafsi

hariri

Haysbert alizaliwa mjini San Mateo, California, akiwa kama mtoto wa Gladys (mama wa nyumbani), na Charles Haysbert, Sr., aliyekuwa msheriff.[1] Yeye ni wa nane kuzaliwa katika familia ya watoto tisa, akiwa na madada wawili na makaka sita. Baada ya kumaliza elimu ya juu, Haysbert alipewa ofa kibao za masomo juu ya masuala ya uawanariadha, lakini badala yake akaamua kusomea masuala ya filamu katika Chuo cha Sanaa na Maigizo cha Marekani.

Filamu

hariri
  • Dallas (1984)
  • 227 (1986)
  • The A-Team (1987)
  • Major League (1989)
  • Navy SEALs (1990)
  • Mr. Baseball (1992)
  • Love Field (1992)
  • Return to Lonesome Dove (1993)
  • Suture (1993)
  • Alex Haley's Queen (1993)
  • Major League II (1994)
  • Heat (1995)
  • Waiting to Exhale (1995)
  • Absolute Power (1997)
  • How to Make the Cruelest Month (1998)
  • Major League: Back to the Minors (1998)
  • Superman: The Animated Series Agent #1 - "Where There's Smoke" 042 19 Septemba 1998
  • Now & Again (1999-2001)
  • The Minus Man (1999)
  • Random Hearts (1999)
  • The 13th Floor (1999)
  • Love & Basketball (2000)
  • What's Cooking (2000)
  • 24 (2001-2006)
  • Justice League (2001-2004)
  • Far from Heaven (2002)
  • Jarhead (2005)
  • The Unit (2006 - Hadi leo)
  • Goodbye Bafana (2006)
  • Breach (2007)

Marejeo

hariri

Viungo vya Nje

hariri