Dents du Midi ni mlima wa Alpi katika nchi ya Uswisi (Ulaya). Mlima huo una vilele saba.

Milima Dents du Midi, upande wa Kusini

Urefu wa kilele chake kirefu kabisa ni mita 3,257 juu ya usawa wa bahari.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Ulaya bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Dents du Midi kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.