Dhekra Gomri
Dhekra Gomri ni mchezaji wa mpira wa miguu nchini Tunisia. Anacheza kama beki wa Klabu ya AS Banque de l'Habitat pamoja na timu ya taifa ya wanawake ya Tunisia.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "Mwanasoka wa kike : Eliminatoires - Championnat d'Afrique «aller» (Guinée Equatoriale 2012)", 16 January 2012. Retrieved on 9 August 2021. (fr)
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dhekra Gomri kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |