Oposumu

(Elekezwa kutoka Didelphidae)
Oposumu
Oposumu wa Virginia (Didelphis virginiana)
Oposumu wa Virginia (Didelphis virginiana)
Uainishaji wa kisayansi
Himaya: Animalia (Wanyama)
Faila: Chordata
Nusufaila: Vertebrata
Ngeli: Mammalia
Nusungeli: Theria
Ngeli ya chini: Marsupialia
Oda: Didelphimorphia
Familia: Didelphidae
Gray, 1821
Ngazi za chini

Nusufamilia 4:

Oposumu (kutoka Kiing.: opossum) ni wanyama wa ngeli ya marsupialia katika oda ya Didelphimorphia wa Amerika.

Makala hii kuhusu "Oposumu" inatumia neno (au maneno) ambalo si kawaida na matumizi yake ni jaribio la kutafsiri neno (au maneno) la asili opossum kutoka lugha ya Kiingereza. Neno (au maneno) la jaribio ni oposumu.
Wasomaji wanaombwa kuchangia mawazo yao kwenye ukurasa wa majadiliano ya makala.

Kamusi za Kiswahili ama zinatofautiana kuhusu matumizi ya neno hili au hazieleweki au hazina neno kwa jambo linalojadiliwa.

Makala hii kuhusu mnyama fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Oposumu kama uainishaji wake wa kibiolojia, maisha au uenezi wake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.